Smile handsome wanguMmmh
Hata sijui walaNdio kunakuaje huko?
HahahaTunataka tumjue halafu si unajuwa mm ndio mlinzi wako ukionekana tu jukwaa la wakubwa nakuja kusema
Kama wa wema karibuni sana jamaniutakua wa wema ndio maana ameomba na mm nimefata, kama sio wa wema itakua vibaya ss....mm hapana
EwaaaaaWeewe tu na roho yako
Nilijua tu utakuja kabla sijakuitaVipiii hiyo vipiiiii ebu niache mie [emoji3]
Tinted au sio!Mwenyewe tu ananifungia vioo
Uzi gani huoNi utoto na ujinga mm kama wana picha zangu wasambaziane vizuri tu yaan kiroho safi huo uzi nimeukuta umefutwa
Si ndio ule aliosema auntie tulikuwa tunadiscuss kwa geniHebu nipe japo kwa muhtasari
Niache kwanzaHata sijui wala
Kwa herufi kubwa tena!!NDIO
MwenyeweMngh!
Karibuni sana ila nina wasiwasi na wwKbs yaan
Kabisa na kuinama anainamaTinted au sio!
EwaaaaaAna roho ya baba akee
Sema kweliUbavu huo sina, wa kukunyima chochote ww
Ni kweli shemuNijambo jema hilo shem mvua ni kitu kizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukileft tunakurudishaHapa dawa ni kuleft kwa muda hasira ziwapungue kwanza maana mngh!