Captain-Sparta
Senior Member
- Sep 9, 2016
- 175
- 172
Mjini hapa unapambanaje na shuka lakini ebu acha kunitia aibu jamaniEmbu nipe njia mbadala maana naona mashuka yangu yanatolea macho tu hapa
Nakutia aibu kwa lip wakat ndio ukwel, mie wa mkoan ndio maana mshamba mshamba labdaMjini hapa unapambanaje na shuka lakini ebu acha kunitia aibu jamani
Hahaha nipo na simu yake hapaKashaitika mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Ndio naelekea huko.
Nakosaje sasaKwa hiyo we una shuka chapa mtu.
Huo umkoani umeanza lini lakiniNakutia aibu kwa lip wakat ndio ukwel, mie wa mkoan ndio maana mshamba mshamba labda
Ha ha ha ha kuna mambo mengne unajiona wa mkoan kabisa japokua unakaa MjinHuo umkoani umeanza lini lakini
Pita mbali mkuu huyo mke wa mchawi.Demisss cha mdekooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio ujipange sasaHa ha ha ha kuna mambo mengne unajiona wa mkoan kabisa japokua unakaa Mjin
Nijipange au unipe njia mbadala mbona unafel padogo sana mdogo wangu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio ujipange sasa
Njia mbadala kwani kaka angu we domo zege tongoza tu yaan tongoza halafu mahela yasikosekanikeNijipange au unipe njia mbadala mbona unafel padogo sana mdogo wangu?
Ngoja nije kwako kwanza nile training kwanza then ntahamia kwa yuleeeeNjia mbadala kwani kaka angu we domo zege tongoza tu yaan tongoza halafu mahela yasikosekanike
Hahaha wewe si unanikimbiaNgoja nije kwako kwanza nile training kwanza then ntahamia kwa yuleeee
Ha ha ha ha kumbe ile ndio training bas acha niwe padre tu hakuna namnaHahaha wewe si unanikimbia