Nimeitika wito...!!!
Nafasi hakuna hapa mkuu imejaa mpaka wengine sijui pa kuwawekaBasi mi naomba niwe ata lebo ya Shuka hiyo basi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm na wewe tumeanza lini kukimbiana lakini si huwa tunasaidiana kwenye shida na rahaHa ha ha ha kumbe ile ndio training bas acha niwe padre tu hakuna namna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ruksa hiyo japo ya kiroho upande ngoja niende Pale Makole(PM) nikapambane na hali yangu ya Majibu .
sasa Pm unaenda kutafta nn kama sio unahamasishaa hanasa na mvua hi?wanaume wwnyewe wa dasalama nguvu za kiume na nuru zimekufaa hawana kazi pm Yann Mkuu?Hiyo hanasa imewaziwa wapi ?
Una uhakika gani kama wanaume wa dar nguvu za kiume zimekufa ingekuwa hivyo kweli je tungeona ule msururu wa wanaokwenda kwa Paulo Makonda (PM)sasa Pm unaenda kutafta nn kama sio unahamasishaa hanasa na mvua hi?wanaume wwnyewe wa dasalama nguvu za kiume na nuru zimekufaa hawana kazi pm Yann Mkuu?
Si unajua si wengine sio popular hata kidgUtakosaje mkuu
[emoji23] [emoji23] ukikosa wa kukuita itabid ukaonane na wazee wa kimila (nimekumbuka kulee[emoji12] [emoji12] [emoji12])[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wee Love b ukuje huku nimekwita