Mwitikio huko mashuleni vipi?

Mwitikio huko mashuleni vipi?

My Joash

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
270
Reaction score
214
Naomba kujua kwa wale mnaojua,vipi mwitikio wa wanafunzi na wanachuo umekuaje leo? Wengi wameripoti au bado.?
 
Mambo yanaendelea kama kawaida ila tahadhari ni kubwa huingii darasani bila kunawa. Sema tu kuna dress code mpya, ukivaa suruali za kuchanika na modo haziruhusiwi kwa vile zina uhusiano sijui.
 
Mkuu mbona umetiririka mno ,maana swali lilikuwa dogo tu,hii inapelekea ujulikane we ni nani,
 
Unafikiri watakataa basi,ada ya mzazi mtoto hawezi gomea,mtanzania ni mtandaoni tu,huku nje mlaini kabisa.
Wakati wa kusoma sasa,hakuna kupoteza muda.
 
Mambo yanaendelea kama kawaida ila tahadhari ni kubwa huingii darasani bila kunawa. Sema tu kuna dress code mpya, ukivaa suruali za kuchanika na modo haziruhusiwi kwa vile zina uhusiano sijui.
Sitaki kuamini kwamba hizo suruali zinavaliwa na mwanachuo akiwa kwenye eneo la chuo. Chuo cha st. Joseph dar es salaam pamoja na mapungufu yake waliweza kudhibiti uvaaji wa wanafunzi wake wavae kwa heshima. Sijui kule SUA maprofesa hawakuweza kuwalazimisha wa dent wavae magunia. Maana harakat za sua 😂😂😂
 
Wanachuo wote, wameambiwa waende shule ili tuone covid-19 kama itawaathiri sana ya kiufupi ni mbuzi wa kafara,

Wakikaa huko chuo wiki mbili tatu na hali ikawa poa basi wadogo zao wataruhusiwa kuendelea na masomo,

Poleni sana kwa kuwatoeni ninyi kama jaribio.
 
Tume

Tumwombe Mungu,tuchukue tahadhari ili mambo yawe shwari
 
Back
Top Bottom