Mwizi ajifanya mzigo ili akombe fedha

Hahahahahaha, alijitoa mzimamzima huyu jamaaaa....

xoxoxo
 

Attachments

  • mwizi-box.JPG
    38.6 KB · Views: 83
Teh teh teh hii naona ni mbinu mpya
 
Huyu Jamaa mjasiliamali kweli kweli; anataka njia ya mkato hataki shida, lakini sasa shubiri yake ataipata!!
 
Wamefanya haraka wangemuacha aibe kwanza , sasa hapo watamshitaki vipi akiwa bado hajaiba.
 
hakuna maendeleo kwa njia ya mkato, ukiiba tu ukikamatwa na raia. Hasira walizo nazo dhidi ya mafisadi zinaishia kwako, si unajui they cannot reach mafisadi. wanakutoa uhai wako. AAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAHA WIZI, WIZI NI TABIA MBAYA VIJANA.
 
Aaagh mbinu ya kizamani sana hii kuna mtu aliibiwa kule Songea takriban 20 yrs back kwa mtindo kama huu so wala sio mpya huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…