Elections 2010 Mwizi akichaguliwa wakati wa kiapo anashika msahafu au biblia?

Elections 2010 Mwizi akichaguliwa wakati wa kiapo anashika msahafu au biblia?

rugumye

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
561
Reaction score
179
Jamani nisaidieni, mwizi wa kura za wananchi tena kwa mabomu wakati wa kuapishwa hushika nini mkononi? au wanamtania Mungu?
 
Duh hii kali aise mwenyewe nimetafakari nimekosea jibu ngoja tusubiri tuone !
 
Back
Top Bottom