Mwizi aliekamatwa na vyandarua na kuiba baadhi ya dawa zahanati ya Kerenge yuko mtaani kwa dhamana na kesi bado iko Polisi

Mwizi aliekamatwa na vyandarua na kuiba baadhi ya dawa zahanati ya Kerenge yuko mtaani kwa dhamana na kesi bado iko Polisi

the kind

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2019
Posts
865
Reaction score
707
Idara ya afya mlione hili, mwizi ambae alikamatwa na wananchi wa kata ya Kerenge kitongoji cha kilole wilaya Korogwe ambae alikutwa na vyandarua vya zahanati ya Kerenge ambayo ni Zahanati ya serikali yuko huru kwa dhamana na kesi haipelekwi mahakamani tangia tarehe 29/11/2019 mpaka leo hii.

Mkurugenzi wa wilaya pamoja na Mganga Mkuu wa Wilaya wanayo taarifa hiyo lakini hata wala hawana habari nalo na pengine wanashirikiana na Polisi na Diwani wa Kata ya Kerenge kulimaliza hili kimya kimya.

PLEASE IDARA HUSIKA MLIONE HILI, MH UMMY MWALIMU ULIONE HILI.
 
Hapana,kuna connection kati ya huyo mwizi na diwani wa kata hiyo pia kata hiyo imekua na machafu mengi sana yanayofanywa na diwani huyo lakini anayamaliza kimya kimya
Kwahiyo tatizo ni diwani siyo mwizi!
 
Hapana,kuna connection kati ya huyo mwizi na diwani wa kata hiyo pia kata hiyo imekua na machafu mengi sana yanayofanywa na diwani huyo lakini anayamaliza kimya kimya
ndugu hizo tuhuma unaushahidi? na ulishasajili line yako kwa alama za vidole? kama ni hvyo relax vidole vyko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui hoja/mashtaka ya mitandaoni serikali haihusiki
Tuko hapa kujuzana na kupeana taarifa na mambo mbalimbali yaliyojiri na ni hiyari yako kufanyia kazi ama kutofanyia kazi kwa ambalo unaona linakugusa,so wizara husika kama wataona iko haja ya kufanya lolote kuhusiana na jambo hili ama kuacha hiyo ni hiyari yao ila MWIZI YUPO TU NA WANAOMKINGIA KIFUA PIA WAPO
 
Basi endelea kujilisha upepo

Back
Top Bottom