Kwahiyo tatizo ni diwani siyo mwizi!Hapana,kuna connection kati ya huyo mwizi na diwani wa kata hiyo pia kata hiyo imekua na machafu mengi sana yanayofanywa na diwani huyo lakini anayamaliza kimya kimya
ndugu hizo tuhuma unaushahidi? na ulishasajili line yako kwa alama za vidole? kama ni hvyo relax vidole vykoHapana,kuna connection kati ya huyo mwizi na diwani wa kata hiyo pia kata hiyo imekua na machafu mengi sana yanayofanywa na diwani huyo lakini anayamaliza kimya kimya
Ushahidi upo 100%ndugu hizo tuhuma unaushahidi? na ulishasajili line yako kwa alama za vidole? kama ni hvyo relax vidole vyko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi upo 100%
Kwani wizi hauna dhamana?ndugu hizo tuhuma unaushahidi? na ulishasajili line yako kwa alama za vidole? kama ni hvyo relax vidole vyko
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko hapa kujuzana na kupeana taarifa na mambo mbalimbali yaliyojiri na ni hiyari yako kufanyia kazi ama kutofanyia kazi kwa ambalo unaona linakugusa,so wizara husika kama wataona iko haja ya kufanya lolote kuhusiana na jambo hili ama kuacha hiyo ni hiyari yao ila MWIZI YUPO TU NA WANAOMKINGIA KIFUA PIA WAPOHujui hoja/mashtaka ya mitandaoni serikali haihusiki
Tuko hapa kujuzana na kupeana taarifa na mambo mbalimbali yaliyojiri na ni hiyari yako kufanyia kazi ama kutofanyia kazi kwa ambalo unaona linakugusa,so wizara husika kama wataona iko haja ya kufanya lolote kuhusiana na jambo hili ama kuacha hiyo ni hiyari yao ila MWIZI YUPO TU NA WANAOMKINGIA KIFUA PIA WAPO