habari za leo wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni kwamba mwizi anapigika hapa maeneo ya k/koo sijajua ameiba nini kiukweli raia wana hasira sana
wanaweza hata kumuua jamaa
[HASHTAG]#yungtEmPeR[/HASHTAG]