Mwizi anapojenga wivu kwa mke wa mtu……….

mkuu hata kama ametoka kwa ajili ya kufuata pesa bado itabidi aonyeshe juhudi ili aweze kupata zaidi na ndipo huyo mtoa pesa atakuwa namcontrol anavyotaka na kumfanya mwanamke amdharau mmewe kwa vile kule anaona ana ziada apatayo

Yeah! maelezo yako yana ukweli kwa kiasi fulani.........................
 

sasa hapo mkuu huyo mama atakuwa amemkomoa mwanaume au atakuwa amejidhalilisha kwa jamaa
 
sasa hapo mkuu huyo mama atakuwa amemkomoa mwanaume au atakuwa amejidhalilisha kwa jamaa

Hata mie nilishangazwa na maelezo yake..................lakini si keshalipa kisasi na roho yake imesharidhika!....................kujidhalilisha unakuona wewe lakini yeye keshamaliza hasira zake...................
 
Sema tu mkuu................. au nimekukumbusha ile habari ya Blackberry! LOL

hii ishu iko complex mno....
sometimes unaambiwa wanawake wanatoka nje kwa sababu
nje ya ndoa kuna sex ya kutoheshimiana sana na kuogopana...
which means yale unayofikiri ukimfanyia mkeo unamdhalilisha kumbe
ndo anakwenda kuyatafuta nje.....

wazee walisema ukimheshimu mkeo,huzai nae......sio utani...
 

Loh! habari ndio hiyo.
 
Hakuna kiac kwenye iyo mambo! So ni vema kutafuta mtu ambaye hutakuwa na wasiwasi wa kufumwa! Cheza na vingine sio hisia
 
Watu wapenda wake za watu wanazid kuongezeka,sababu mojawapo ni kuwa gharama ya matumiz ya kugharamikia penzi inapungua tofaut ukiwa na yule amabaye hajaolewa. hamuoni vijana wanavyopenda mijimama wake za watu ili wawalee? Hiki kizazi kinahitaji maombi ya hali ya juu, hasa wewe mwanandoa, unapoomba usisahau kumwombea mwenzi wako na kuiombea amani na upendo ndoa yenu manake makuberi na magumegume yamekuwa mengi mno. Ee Mola tunusuru waja wako na hili janga
 

kwa huu ushauri wako ina maana hata tigo umle? Manake huko nje wapenda tigo ni wengi. Hebu dadafua hapo the bosi ni mambo gani hayo.
 
Mi nadhani kinachotakiwa ni m2 kuwa tu mwaminifu na kuachana na mambo ya kulipa kisasi,elewa kitu kimoja penzi ni kikohozi kuficha huliwezi utajidanganya tu!na ndio maana lazima kufumaniwa au kuhiswa na baadhi ya watu au marafiki au familia zinawazunguka jambo la msingi kuiba haifai acha!
 
Umenena vyema lakini je itawezekana maana kila uchao matatizo haya huongezeka.Labda tufanye maombezi kwa taifa zima
 
Basi,
wewe usiwaombee watu hawa,
wala usiwapazie sauti yako,
wala kuwaombea dua, wala
usinisihi kwa ajili yao; kwa
maana sitakusikiliza.
(Soma Yeremia 7:16)
 
Basi,
wewe usiwaombee watu hawa,
wala usiwapazie sauti yako,
wala kuwaombea dua, wala
usinisihi kwa ajili yao; kwa
maana sitakusikiliza.
(Soma Yeremia 7:16)

Nimekusoma mkuu..................
 
mie hili neno mshindo huwa linniudhi!!!!!....anyway.. mtambuzi ingekuwa watu wakifika wakati wa kufanya mapenzi wanabanana na wenzii wao nahisi watu wangekuwa hawatoki nje
 
Nafikiri chanzo kikubwa sana cha watu kufanya haya mambo ni kukosa UTU na kutokuwa na HURUMA na watu wenye ndoa zao. Tuuvae ubinadamu, halafu tuwe na UTU ndugu zangu .....
 
Nafikiri chanzo kikubwa sana cha watu kufanya haya mambo ni kukosa UTU na kutokuwa na HURUMA na watu wenye ndoa zao. Tuuvae ubinadamu, halafu tuwe na UTU ndugu zangu .....
Utu tutautoa wapi na tushakuwa wanyama
 
sasa hapo mkuu huyo mama atakuwa amemkomoa mwanaume au atakuwa amejidhalilisha kwa jamaa

Ndio hivyo mzee,wahenga wanasema mwanamke mwalimu wake................ama kweli hasira hasara.......kumbe baada ya jamaa kueleza utumbo wake ndio mwanamke karudiwa na fahamu.....dooooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…