Mwizi avamia kwa ajuza wa miaka 82, bila kutarajia ajuza amshushia kipigo kizito, polisi wamuokoa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muhuni kaingia choo chakike bibi anarusha ngumi jiwe [emoji119]
 
Haha bibi anatembeza vitasa

Huyu ni kama Cynthia Rothrock akizeeka uingie kwake kichwa kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…