Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi ya jinai (mfn wizi) huanza pale tu unaporipoti polisi na kupata RB (repoti book). Sasa unatuuliza nini tena wakati tyr kitu unachouliza ulishakifanya????. Km hujakifanya polisi alifikaje???habarini jamani nahitaji msaada wenu niliibiwa vitu nikavipata then alieiba akapelekwa polisi je kuna haja ya mm kufungua kesi??
nashukuru sanaWala siyo hivyo unaweza kama iko polisi unaweza kuimalizia pale onana na mpelezi wa kesi umueleweshe na yeye atakuambia cha kufanya, LA kama imesha fika mahakamani ongea na watu wa mahakamani watakueleza cha kufanya unanyoosha mkono juu akimu atauliza unataka kusema nini then Sema tu kuwa unaomba kufuta kesi kwa kuwa mmeshafikia makubaliano na ndugu mshatakiwa ila jaribu kuwa sikiliza watu wa mahakamani wao wanajua vizuri watakueleza
Sent using Jamii Forums mobile app
nashukuru ndugu yanguLazima kesi ifike mahakamani na wewe uende kama mlalamikaji ila ikiwa hutaki kuendelea na kesi husika itabidi usiwe unahuduria mahakamani siku za kesi kusomwa uwe unatoa udhuru mara kwa mara,kesi ikisomwa zaidi ya mara tatu na zaidi huku mlalamikaji hayupo mahakamani basi hakimu huchukua hatua ya kuifuta!njia nyengine ni kumpa askari mpelelezi wa kesi chochote kitu ili aimalizie kituoni japo naona ni gharama zisizo na maana bora uende mahakamani hiyo mara moja tu!ila ngoja waje wajuvi zaidi ila hiyo njia ya mwanzo iliwahi kunisaidia.
sent from Kibiti with Nokia3310 using Jf app
aseeeh...poasi lazima uchangie kila thread kama hujui chochote kaa kimya tu