Mwizi kakabidhi alivyoniibia, je kuna haja ya kumfungulia kesi?

Strong

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
515
Reaction score
454
Habarini jamani nahitaji msaada wenu niliibiwa vitu nikavipata then aliyeiba akapelekwa polisi. Je kuna haja ya mm kufungua kesi??
 
habarini jamani nahitaji msaada wenu niliibiwa vitu nikavipata then alieiba akapelekwa polisi je kuna haja ya mm kufungua kesi??
Kesi ya jinai (mfn wizi) huanza pale tu unaporipoti polisi na kupata RB (repoti book). Sasa unatuuliza nini tena wakati tyr kitu unachouliza ulishakifanya????. Km hujakifanya polisi alifikaje???
 
Lazima kesi ifike mahakamani na wewe uende kama mlalamikaji ila ikiwa hutaki kuendelea na kesi husika itabidi usiwe unahuduria mahakamani siku za kesi kusomwa uwe unatoa udhuru mara kwa mara,kesi ikisomwa zaidi ya mara tatu na zaidi huku mlalamikaji hayupo mahakamani basi hakimu huchukua hatua ya kuifuta!

Njia nyengine ni kumpa askari mpelelezi wa kesi chochote kitu ili aimalizie kituoni japo naona ni gharama zisizo na maana bora uende mahakamani hiyo mara moja tu!ila ngoja waje wajuvi zaidi ila hiyo njia ya mwanzo iliwahi kunisaidia.

sent from Kibiti with Nokia3310 using Jf app
 
Wala siyo hivyo unaweza kama iko polisi unaweza kuimalizia pale onana na mpelezi wa kesi umueleweshe na yeye atakuambia cha kufanya, LA kama imesha fika mahakamani ongea na watu wa mahakamani watakueleza cha kufanya unanyoosha mkono juu akimu atauliza unataka kusema nini then Sema tu kuwa unaomba kufuta kesi kwa kuwa mmeshafikia makubaliano na ndugu mshatakiwa ila jaribu kuwa sikiliza watu wa mahakamani wao wanajua vizuri watakueleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nashukuru sana
 
nashukuru ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…