Mwizi wa cake akamatwa baada ya kuacha ushahidi

Mwizi wa cake akamatwa baada ya kuacha ushahidi

Shatrughan Singh

Senior Member
Joined
Jan 31, 2017
Posts
113
Reaction score
84
Mwizi mmoja kwa jina la Mathew Stewart (32) amekamatwa huko Los Angeles baada ya kuingia kupitia dirishani kuvunja kioo na kuiba cake aliyopewa na girlfriend wake kwaajiri ya birthday, John Douglas (39) ambae ni mmiliki wa apartment hiyo alirudi nyumbani na kukuta dirisha la store limevinjwa kioo, baada ya kuchunguza aligundua cake yake aliyopewa jana yake na mchumba wake na kuila kidogo tu na kuibakiza haikuwepo.
Bwana John Douglas alipiga simu polisi, baada ya polisi kufika na kufanya upepelezi waligundua mwizi alikuwa amejisaidia haja kubwa kabla ya kuondoka na kusahau ku flash, polisi walichukua haja kubwa (ngumu) na kuipima unene wake kisha kumpima mwenye nyumba sehemu zake za uume na kuona zinalingana, ndipo walipomsihi amtaje huyo mtu nae kumtaja bwana Mathew Stewart, bwana Stewart baada ya kukamatwa alikili kuwa yeye ndiye mwizi wa cake.
Polisi waliwasihi kumaliza case yao kindugu na kuwaacha wayamalize.

Source CMBC news.
 
Inamaana unene wa kinyesi cha mwizi unalingana na unene wa uume wa mwenye nyumba?
 
CIMG3424.jpg
 
Picha [emoji23][emoji23][emoji23]

Don't put all egg on one Basket
 
Back
Top Bottom