Mwizi wa gari adai Kanye West alimtuma kuliiba

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Mwanamke mmoja kutoka Luis ville Marekani, Ricki Smith mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa akitaka kuiba gari na kudai kuwa Kanye West ndiye aliyemtuma. Tukio hilo lilitokea Ijumaa huko mtaa wa North main street.

Smith sasa anakabiliwa na mashtaka ya kujaribu utekaji na wizi wa gari. Ameshikiliwa katika jela ya kaunti ya Vanderburgh kwa gharama ya dolla 10,000 na kusikilizwa kwa kesi hiyo ni Alhamisi Septemba 5.

Kanye West_Rick Smith_Car.png

========

A 28-year-old Kentucky woman, Ricki Smith, was arrested in Evansville after allegedly attempting to steal multiple vehicles.

Smith claimed that she was instructed to commit the thefts through telepathic communication with Ye, formerly known as Kanye West.

The incident took place on North Main Street, where Smith was seen trying to open car doors. She was removed from one car by a mother who was dropping her child off at daycare. Smith was arrested and taken to Vanderburgh County Jail after further investigation.

Source: Pubity
 
Nasikia marekani Kuna kazi nyingi za Bure Bure na Kuna free foods kwenye maeneo mbalimbali lakini pia watu hulipwa hata bila kufanya kazi Sasa huyu anaenda kuiba ili apate Nini!?

mkuu hizo ni strory za vijiweni tu, Marekani ngomo ipo tafu sana.
 
Nasikia marekani Kuna kazi nyingi za Bure Bure na Kuna free foods kwenye maeneo mbalimbali lakini pia watu hulipwa hata bila kufanya kazi Sasa huyu anaenda kuiba ili apate Nini!?
Ni Marekani hii hii ambayo kuna homeless kibao mitaani au ni Marekani gani mkuu
 
Nasikia marekani Kuna kazi nyingi za Bure Bure na Kuna free foods kwenye maeneo mbalimbali lakini pia watu hulipwa hata bila kufanya kazi Sasa huyu anaenda kuiba ili apate Nini!?
🤣🤣🤣🤭
 
Mwanamke mmoja kutoka Luis ville Marekani, Ricki Smith mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa akitaka kuiba gari na kudai kuwa Kanye West ndiye aliyemtuma. Tukio hilo lilitokea Ijumaa huko mtaa wa North main street.

Smith sasa anakabiliwa na mashtaka ya kujaribu utekaji na wizi wa gari. Ameshikiliwa katika jela ya kaunti ya Vanderburgh kwa gharama ya dolla 10,000 na kusikilizwa kwa kesi hiyo ni Alhamisi Septemba 5.
========

A 28-year-old Kentucky woman, Ricki Smith, was arrested in Evansville after allegedly attempting to steal multiple vehicles.

Smith claimed that she was instructed to commit the thefts through telepathic communication with Ye, formerly known as Kanye West.

The incident took place on North Main Street, where Smith was seen trying to open car doors. She was removed from one car by a mother who was dropping her child off at daycare. Smith was arrested and taken to Vanderburgh County Jail after further investigation.

Source: Pubity
Hili li kanye west ndo mwijaku wao huko marekani.
 
Waliwasiliana na kanye through "Telepath" tatizo la afya ya akili lipo kila mahala,
 
Back
Top Bottom