Mwl.aliye tayari!...

Mwl.aliye tayari!...

Mchakatoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
310
Reaction score
44
Kwa mwl shahada aliye tayar naomba tubadilishane kituo ie.Muleba District atapangiwa shule nzuri tu ya A level mazingira ni safi huduma zote za jamii zipo!..ni PM
 
kama upo tayari ni pm mi nimepangwa shinyanga vijijini so kama utakuwa interested tubadilishane.
 
Hata mimi nimepangiwa shinyanga vijijini.naomba kwa mwenye taarifa juu ya upatikanaji wa huduma za jamii ktk hii wilaya atujuze 2sepe mapema
 
kama upo tayari ni pm mi nimepangwa shinyanga vijijini so kama utakuwa interested tubadilishane.

mie sio kwamba sehemu nilipopangiwa ni mbaya...tatzo ni nyumbani nafuta eneo la mwz nyamagana,ilemela,au magu! hko shy bush siyo bora nibaki skani!...
 
mie sio kwamba sehemu nilipopangiwa ni mbaya...tatzo ni nyumbani nafuta eneo la mwz nyamagana,ilemela,au magu! hko shy bush siyo bora nibaki skani!...

Tuambie bac mkuu kuhusu upatikanaji wa huduma za jamii kuko kwan inaelekea unapafaham sana

pia kama kuna mwenye namba za afisa elimu wa shinyanga vijijin atupatie pleaz
 
Back
Top Bottom