M Mchakatoh JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 310 Reaction score 44 Jan 24, 2012 #1 Kwa mwl shahada aliye tayar naomba tubadilishane kituo ie.Muleba District atapangiwa shule nzuri tu ya A level mazingira ni safi huduma zote za jamii zipo!..ni PM
Kwa mwl shahada aliye tayar naomba tubadilishane kituo ie.Muleba District atapangiwa shule nzuri tu ya A level mazingira ni safi huduma zote za jamii zipo!..ni PM
O oldonyo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 549 Reaction score 86 Jan 24, 2012 #2 kama upo tayari ni pm mi nimepangwa shinyanga vijijini so kama utakuwa interested tubadilishane.
G GEWAME Member Joined Oct 18, 2011 Posts 25 Reaction score 1 Jan 24, 2012 #3 Hata mimi nimepangiwa shinyanga vijijini.naomba kwa mwenye taarifa juu ya upatikanaji wa huduma za jamii ktk hii wilaya atujuze 2sepe mapema
Hata mimi nimepangiwa shinyanga vijijini.naomba kwa mwenye taarifa juu ya upatikanaji wa huduma za jamii ktk hii wilaya atujuze 2sepe mapema
M Mchakatoh JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 310 Reaction score 44 Jan 24, 2012 Thread starter #4 oldonyo said: kama upo tayari ni pm mi nimepangwa shinyanga vijijini so kama utakuwa interested tubadilishane. Click to expand... mie sio kwamba sehemu nilipopangiwa ni mbaya...tatzo ni nyumbani nafuta eneo la mwz nyamagana,ilemela,au magu! hko shy bush siyo bora nibaki skani!...
oldonyo said: kama upo tayari ni pm mi nimepangwa shinyanga vijijini so kama utakuwa interested tubadilishane. Click to expand... mie sio kwamba sehemu nilipopangiwa ni mbaya...tatzo ni nyumbani nafuta eneo la mwz nyamagana,ilemela,au magu! hko shy bush siyo bora nibaki skani!...
G GEWAME Member Joined Oct 18, 2011 Posts 25 Reaction score 1 Jan 24, 2012 #5 Mchakatoh said: mie sio kwamba sehemu nilipopangiwa ni mbaya...tatzo ni nyumbani nafuta eneo la mwz nyamagana,ilemela,au magu! hko shy bush siyo bora nibaki skani!... Click to expand... Tuambie bac mkuu kuhusu upatikanaji wa huduma za jamii kuko kwan inaelekea unapafaham sana pia kama kuna mwenye namba za afisa elimu wa shinyanga vijijin atupatie pleaz
Mchakatoh said: mie sio kwamba sehemu nilipopangiwa ni mbaya...tatzo ni nyumbani nafuta eneo la mwz nyamagana,ilemela,au magu! hko shy bush siyo bora nibaki skani!... Click to expand... Tuambie bac mkuu kuhusu upatikanaji wa huduma za jamii kuko kwan inaelekea unapafaham sana pia kama kuna mwenye namba za afisa elimu wa shinyanga vijijin atupatie pleaz