Mwl.aliye tayari!...

Mchakatoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
310
Reaction score
44
Kwa mwl shahada aliye tayar naomba tubadilishane kituo ie.Muleba District atapangiwa shule nzuri tu ya A level mazingira ni safi huduma zote za jamii zipo!..ni PM
 
kama upo tayari ni pm mi nimepangwa shinyanga vijijini so kama utakuwa interested tubadilishane.
 
Hata mimi nimepangiwa shinyanga vijijini.naomba kwa mwenye taarifa juu ya upatikanaji wa huduma za jamii ktk hii wilaya atujuze 2sepe mapema
 
kama upo tayari ni pm mi nimepangwa shinyanga vijijini so kama utakuwa interested tubadilishane.

mie sio kwamba sehemu nilipopangiwa ni mbaya...tatzo ni nyumbani nafuta eneo la mwz nyamagana,ilemela,au magu! hko shy bush siyo bora nibaki skani!...
 
mie sio kwamba sehemu nilipopangiwa ni mbaya...tatzo ni nyumbani nafuta eneo la mwz nyamagana,ilemela,au magu! hko shy bush siyo bora nibaki skani!...


watanzania kweli tunamatatizo. post zenu zilivyokuwa zina chelewa mulikuwa munapiga kelele sasa mumepangiwa munaleta shida. ikiwa nyinyi mumeshapangiwa sehemu na kuanzia mwezi ujao mnaanza kula ela za serikali MNALALAMIKA.

SISI tusiopata kazi mpaka leo tusemeje?


ACHENI UJINGA HEBU NENDENI SEHEMU MULIZOPANGIWA.

Ujanja si kuwahi ujanja kupata.
 
KWELI WATU SIO WAZALENDO, KWANI HUKO UNAKO KATAA UNATAKA NANI AENDE? ISN'T IT NOT PART OF UR COUNTRY?
Haaaaaa, mnatukera kwa kweli.... sasa ambaye hana kazi asemeje? mnataka mpewe nini ndipo mshukuru Mungu? mpewe mawe ndio mtashukuru? LAAAHASHA! msitutie kiwewe ambao hatuna kazi hebu nendene huko mkalitumikie taifa lenu fafadhali........
 

We ni bure!..
 
 
Hata mimi nimepangiwa shinyanga vijijini.naomba kwa mwenye taarifa juu ya upatikanaji wa huduma za jamii ktk hii wilaya atujuze 2sepe mapema

Anza mazoezi ya kuendesha baiskeli.
 
Me niko sumbawanga kama vp tubadilishane
 
mnasikitisha sana, anaetaka kutokwenda awaulize walimu waliopangiwa mwaka jana wakakataa wanavyosota kutafta kazi kwenye vijishule vya kijinga wanalipwa mshahara 150,000 na headmaster. Tena wanajuta kweli kweli? Si bora uende utatafuta uhamisho baadae? Acheni utoto mtaa ni mgumu hasa nyie wanaume utaoa au umeoa mkeo na watoto utawalisha mawe? Kisa upo town bila kazi. Kwanza huko bush life is easy, unaweza kufanya kazi kwa malengo ukasave pesa ukawa na maisha yako mazuri, ukajenga, ukasomesha na kufungua miradi. Watu wengine hambebeki hata kwa mbeleko ya chuma. Kumbuka usichezee kazi chezea mshahara, majuto ni mjukuu.
 
Nendeni mlikopangiwa ninyi, mlililia nafasi na sasa mnaanza kuchagua vituo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…