Mwl. anayetaka tubadilishane kituo cha kaz.

Mwl. anayetaka tubadilishane kituo cha kaz.

ytara jr

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
36
Reaction score
1
Mi ni mwalimu,DIPLOMA HOLDER.
Nafundisha halmashauri ya wilaya ya singda.
natafuta mwalimu wa kubadilishana naye tokawilaya ya magu,au maeneo ya karibu na hapo ili niwe karibu na wazee wangu wanaozeeka sasa.
No. 0757966585.
 
natafuta
mwl wa kubadilishana naye kutoka mkoa wa mbeya wilaya kyela ,rungwe
,busokelo,mbey vijijin,na mbalali aje morogoro kilosa bara2 kuu to
dodoma 0758203473/0789599055
 
Back
Top Bottom