Mwl. Julius Kambarage Nyerere alipomzungumza Abdul Sykes katika historia ya TANU

Mwl. Julius Kambarage Nyerere alipomzungumza Abdul Sykes katika historia ya TANU

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Wanamajlis,
Ingieni hapo chini kumsikiliza Mwl. Nyerere:

https://soundcloud.com/faraj-mohammed-1/nyerere-audio

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
DSC03585+%25281%2529.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Kushoto: Waziri Dossa Aziz, Julius Kambarage Nyerere, Abdulwahid Kleist Sykes na Lawi Nangwanda Sijaona
Ukumbi wa Arnatouglo Kumuaga Nyerere Safari ya Pili UNO 1957
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ut2JJgU5-EenyYl_qBVsgaBfz8rXMkVpLH6WPpcxR6w=w781-h577-no

abdulwahid-3.jpg

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
WAZEE+WA+TANU.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Baraza la Wazee wa TANU 1955[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Here we go again :behindsofa:

Ngongo,
Tulipokuwa vijana katika Dar ya 1960 kulikuwa na kipindi, "Chipukizi Club,"
kila siku ya Jumamosi mchana.

Kipindi hiki kilikuwa cha vijana na band ya muziki wakipiga nyimbo za Kizungu
za akina Elvis Presley, Cliff Richard, The Beatles na wengine wengi.

Signature tune ilikuwa nyimbo inaitwa, "Here We Go Luu be Luu..."
 
Sidhani kama Abdulwaheed Sykes (RIP) alijitambulisha mwenyewe kama '..... Muslim politician' kama ulivyoandika hapo nyuma ya kitabu. Punguza jicho la udini mzee... hatuhuitaji TZ
 
Sidhani kama Abdulwaheed Sykes (RIP) alijitambulisha mwenyewe kama '..... Muslim politician' kama ulivyoandika hapo nyuma ya kitabu. Punguza jicho la udini mzee... hatuhuitaji TZ

Cynic,
Hapana wewe una hofu tu na Uislam.
Hayo maneno kaandika "publisher,'' kutambulisha maudhui ya kitabu.

Ukitaka kujua habari za "udini" huo ambao ambao unasema kuwa "hatuuhitaji,"
kisome kitabu utapata mengi.

Utakutana na Sheikh Hassan bin Amir na utaona juhudi alizofanya katika eneo
ili kuleta umoja wa Watanganyika.

Bila shaka utakapoujua mchango wa Sheikh Hassan bin Amir utajiuliza mbona
hayuko katika historia ya TANU na mapambano ya kudai uhuru wa Tanganyika?

Ingia hapa na nakuomba baadae urejee Majlis tusikie kauli yako:
Mohamed Said: MCHANGO WA MUFTI SHEIKH HASSAN BIN AMEIR KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA MAHOJIANO KATI YA SHEIKH RASHID SALIM NA MOHAMED SAID RADIO NUR ZANZIBAR

https://soundcloud.com/mwinyimadi/sheikh-hassan-bin-amir-nur-fm
 
Ninakisoma kitabu cha Ulotu Abubakar Ulotu "historia ya TANU" kilichochapwa na Printpark tz ltd Dar es Salaam first published in 1971. bakini na mabishano yenu.
 
Ahsante kwa kutufahamisha historia iliyokuwa gizani.....hicho kitabu kwa tuliokuwa mikoani twakipataje? Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:
Mcubic ikiwa uko Dar es Salaam kitabu kinauzwa Tanzania Publishing House Samora Avenue, Ibn Hazim Media Centre Msikiti wa Mtoro na Manyema.
 
Ninakisoma kitabu cha Ulotu Abubakar Ulotu "historia ya TANU" kilichochapwa na Printpark tz ltd Dar es Salaam first published in 1971. bakini na mabishano yenu.
Ipogolo kwani kubishana ni dhambi? Kusoma kitabu ni kitu cha kawaida sana hakina haja ya kupigiwa kelele.
 
Ipogolo kwani kubishana ni dhambi? Kusoma kitabu ni kitu cha kawaida sana hakina haja ya kupigiwa kelele.

Mie ninawashangaa wanaokubishia bila facts ndio ugomvi wangu. Tukibishana na kupiga kelele kwa facts na evidence inaongeza maarifa zaidi kulikoni kubisha kwa mihemuko. Allnace fallacy
 
Mie ninawashangaa wanaokubishia bila facts ndio ugomvi wangu. Tukibishana na kupiga kelele kwa facts na evidence inaongeza maarifa zaidi kulikoni kubisha kwa mihemuko. Allnace fallacy[/QUOTE
Ahsante.
 
Back
Top Bottom