Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Here we go again :behindsofa:
Mzee naona bado unarusha miguu tu na hueleweki hasa dhima yako ni nini.
Sidhani kama Abdulwaheed Sykes (RIP) alijitambulisha mwenyewe kama '..... Muslim politician' kama ulivyoandika hapo nyuma ya kitabu. Punguza jicho la udini mzee... hatuhuitaji TZ
Ipogolo kwani kubishana ni dhambi? Kusoma kitabu ni kitu cha kawaida sana hakina haja ya kupigiwa kelele.Ninakisoma kitabu cha Ulotu Abubakar Ulotu "historia ya TANU" kilichochapwa na Printpark tz ltd Dar es Salaam first published in 1971. bakini na mabishano yenu.
Ipogolo kwani kubishana ni dhambi? Kusoma kitabu ni kitu cha kawaida sana hakina haja ya kupigiwa kelele.
Mie ninawashangaa wanaokubishia bila facts ndio ugomvi wangu. Tukibishana na kupiga kelele kwa facts na evidence inaongeza maarifa zaidi kulikoni kubisha kwa mihemuko. Allnace fallacy[/QUOTE
Ahsante.