Mwl mwenzangu anataka mume

Walimu wanaharaka sana ya maisha ndo maana wengi sana wanaishia kuzalishwa tu mtoto mmoja mmoja na wanaume wanaachana nao
 
Mwanamume wa ukweli hatafutwi Bali husubiriwa! Huja tu na hajawahi kuacha kuja kwa walio waaminifu wa kusubiri huku wakijitunza "usafi" wao.
Ila utasubiri sana kama haujui kujitunza, maana Mungu huwaongoza wanaume waaminifu kwa wanawake waaminifu na si vimginevyo!
Kwa upande wa pili shetani huandaa mazingira ya wanawake wasiotulia kuwavutia wanaume wasio waaminifu waliojaa tamaa na macho ya uzinzi!
 
Anataka mume kuanzia miaka mingap hadi mingap na je walio under 28

Na anaia ya dhat hapo VP???
 
Hao mara nyingi ni mnaungaembe walioshindikana
 
Aisee,Mesiah bado upogi na hizi mambo tu,haijakaa poa sana bhanaaa,mfundishe rafiki yako kutumia Jf then aje ajieleze mwenyewe, sio kwa style hii ebo!!!
 
Nakuja huko mbeya next week nami niaonane naye face to face kama ulivyofanya wewe posta mistress. .
 
Mm utanikosa siwezi kuhama Zanzibar kuja Mbeya.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mannie anitumie namba ya simu yake

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mwambie anitumie namba ya simu yake t

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hapana kwa kweli
Hapana Kwanzaa kweli wakati siyo wewe? Unaijua size ya aliyonayo huyo mwalimu? Usimjibie mengine mwambie watakutana PM wenyewe

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Bilashaka,anatafuta mume,siyo majamaa wakumgonga nakumuacha,hao maranyingi huwa hawakosekani nasiyo wakutafuta,mume siku hizi ni dili sana,hatakama hana vigezo anavyotaka muolewaji.
 
Yaan Mwalimu mzima anashindwa kujiongeza! Sie uwa tunafanya hivi; tunaitisha vikao vya wazazi wa wawanafunzi kisha tuna anza kupoint. Mwambie ajiongeze watakuja wametia suti za hatari na magari yakutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…