Mwl mwenzangu anataka mume

Duu tatizo yupo mbali sana mimi angenifaa sana Mungu atamjalia atapata tu
 
Mwenyewe yuko wapi?Udalali mpaka kwenye jambo hili?Anyway kama kweli yuko serious anipm nimwambie kitu!!!
 
Hii fursa imenipita tuko mkoa mmoja hahaaaa namzidi umri navyopenda walimu sasa.
 
Niko mbeya jakaranda...anitafute ila namba yangu siweki public
 
Mwanake mwenye tabia njema awezi tafuta ndoa mtandaoni makanisani misikitini mmeshindwa nendeni ktk nyumba za ibada tangaza nataka mume uone ila usilete mashauzi ya ks@/*8#*e oh awe na elimu hii sijui benz.mmechelewa sana jinsia ya kiume hua inatafakarii sana juu ya mademu wa mitandaoni
 
Kama bado hajapata mume nitumie picha na namba yake pm
 
Mkiwaga na miaka 25 mbwembwe nyingi saivi mnahaha

*Kuoa mwanamke aliyefikisha miaka 28 ni sawa na kununua gazeti jion*
Si kweli, ndo wazuri kujenga familia kwanza huwa wameptia mengi nafasi ya kutulia ni kubwa,labda tu km unampango wa kuzaa watoto zaidi ya kumi.
 
Iam under 18 and am real serious. Can i get her number??
 
Je, bikra IPO? Naomba kuthibitishiwa hili kabla sijafanya commitment.
 
mi nashangaaga sana wanaowapondaga wanawake wanaotafuta wenza wao mitandaoni.sijui wameishiwa na fikra ama VP.mlitaka wakatafute wapi?hivi kwa nn MTU asiheshimiwe Uhuru wa mawazo take ili mradi hakugusi we na maisha yako?yaani utakuta mwanaume lijali kabisa,na ndevu zake,kakomalia kabisa ishu ndogo ya mwanamke kujiweka mtandaoni anatafuta mwanaume,iwe wa staff,au wa ndoa,au kivyovyote....unakuta watu wamekalia majungu tu,kukosoa,vitu ambavyo haviwapunguzii lishe wale hewa.very sad.mwanaume waache kuwa mistreat wanawake kwenye media huru.jf ni media huru,ila kuna watu wanajifanyaga ni Mali yao kwa Ku critisize Uhuru wa wengine.watumbuliwe hao na admn bcs sio sawa.hawataki wajitoe jf.
 
Jamaa anayempuliza Sasa hivi yupo Mbeya au wapi? Ili nikishamuoa nimuweke mbali kidogo na mpulizaji wa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…