Mwl.Nyerere katika moja ya hotuba zake kwa umma anasema, "Kiongozi ambaye hawezi kuisimamia, kuifuata, kuitetea na kuitetea katiba ya nchi yetu hatufai kabisa. Aondoke akasimamie mashamba yake". Kwa kauli hii ni kwamba kiongozi wetu lazima awe anatawaliwaliwa na kuongozwa na katiba.
SWALI: Je! Tangu rais A.H. Mwinyi hadi J.Kikwete, Tanzania imewahi kuwa na rais anayetufaa?
SWALI: Je! Tangu rais A.H. Mwinyi hadi J.Kikwete, Tanzania imewahi kuwa na rais anayetufaa?