Mzalendo92 Senior Member Joined Dec 29, 2014 Posts 177 Reaction score 5 Apr 12, 2020 #1 Kuna makala nilisoma ilieleza kuhusu mgogoro wa mwalimu na Moringe naomba kujua ukweli jambo hili asante
Kuna makala nilisoma ilieleza kuhusu mgogoro wa mwalimu na Moringe naomba kujua ukweli jambo hili asante
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Apr 13, 2020 #2 Mgogoro kuhusu nini?
Pan AM JF-Expert Member Joined Apr 30, 2018 Posts 325 Reaction score 461 Apr 13, 2020 #3 Nilisikia ya kuwa kifo chake kilipangwa,maana hata dereva aliyesababisha ajari hakufungwa/wala kufikishwa katika vyombo vya sheria,ukweli upoje mkuu?.....
Nilisikia ya kuwa kifo chake kilipangwa,maana hata dereva aliyesababisha ajari hakufungwa/wala kufikishwa katika vyombo vya sheria,ukweli upoje mkuu?.....