Nmekuwa namtafuta kwa njia nyingi lakini hapatikani.
Safi kabisa, hongera sanaNJIA ZA MAWASILIANO
Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62 au 0788 203 160
2. Barua Pepe (Email): mw1rct @ outlook.com
3. Whatsapp: +255 788 203 160
4. Skype: mw1rct
5. Telegram: @MwlRCT
MUDA WA KUWASILIANA NAMI
1. 06:00 – 19:30hr (Saa 12:00 asubuhi HADI Saa 1:30 Usiku)– Simu/sms/whatsapp/telegram - Utajibiwa
2. 19:30 – 06:00hr (Saa 1:30 usiku HADI Saa 12:00 asubuhi)– Niachie ujumbe wa simu (sms)/whatsapp/telegram/email, Na utajibiwa au kupigiwa simu kabla ya 08:00hr Kila siku.
Au niandikie hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums

Huwa naona post, instantly, kupitia Push Notification kwenye PC yangu, kwa baadhi ya majukwaa hapa JF.Hahahaha!!!mkuu umejitekenya
Kaka uwe na adabu,wallah naapa kwa mungu nlomuulizia ni mimi na wala huyo bro hana izo mambo kama unavodhani.Nashukuru kaka ngoja nije inboxHahahaha!!!mkuu umejitekenya mwenyewe halafu ukamalizia kucheka mwenyewe kwa Namna ingine sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpwa Mimi nashika namba ngapi? Hahahaha jamaa Nilikua nae kwenye group la PWANI investment yuko poa. Uaminifu ni mtajiMiongoni mwa wana JF waaminifu ni Mwl.RCT ,Hongera sana kwake
Unaweza kushika namba za viatu mkuu(kidding) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bado Sijakutest, Mwl.RCT nishawahi kumtest nikajiridhisha na uaminifu wakeMpwa Mimi nashika namba ngapi? Hahahaha jamaa Nilikua nae kwenye group la PWANI investment yuko poa. Uaminifu ni mtaji
Kwenye uaminifu hapo hakuna shaka mi nishafanya nae biashara zaidi ya mara moja, na hapa jukwaani ameshanisaidia vingi, jamaa anatuzidi sana kwenye issue za IT hasa kwenye jukwaa la tech, sikumoja aje atupe japo tu uzoefu alionao ama elimu aliyonayo maana naona ni tofauti na wenzangu na sie.Unaweza kushika namba za viatu mkuu(kidding) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bado Sijakutest, Mwl.RCT nishawahi kumtest nikajiridhisha na uaminifu wake
Kama ni kweli biga up kwake .'ni njia mojawapo ya kujipromoHahahaha!!!mkuu umejitekenya mwenyewe halafu ukamalizia kucheka mwenyewe kwa Namna ingine sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Miongoni mwa wana JF waaminifu ni Mwl.RCT ,Hongera sana kwake
Hahahaha!!!mkuu umejitekenya mwenyewe halafu ukamalizia kucheka mwenyewe kwa Namna ingine sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwl.RCT ni mtu ambaye yupo serious na kazi yake sidhani kama anaweza kufanya hivyo ingawa kwa JF hilo jambo linawezekana.