Mwananzuoni
JF-Expert Member
- Apr 22, 2009
- 290
- 69
Fanya huu mtihani nikupe kazi
View attachment 58947
Mkuu wewe Kiboko. Hiyo paper uliyompatia Dogo akipata swali moja mpe zawadi.
Nisubiri nitakuja kujibu maswali yoyote ya maana ila sitajibu upuuzi au ubishi usiokuwa na maana. kama una mswali ambayo huna uhakika nayo kuhusu mitihani unayowapa wanafunzi wako nitakusaidia kuyasahihisha . Sasa hivi niko najiandanaa na mkutano wa experimental mechanics na ukihitaji nitakuletea copy ya proceedings kwenye DVD. Fuatilia link hii kuangalia mada tutkazoeengea kwenye mkutano huo).