mandawa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 772
- 1,119
Wadau, nimesikiliza na kufuatilia swala la kupotea binti Warda Mohamed mwanafunzi wa kidato cha kwanza huko kibaha, hakika inasikitisha jinsi Mamlaka husika yaani polisi na oficin ya mkuu wa wilaya Nick wa pili jinsi ambavyo wamelikalia kimya swala la huyu binti aliepotea tangu Mwezi wa nne.
Inasikitisha Sana kujua police hadi Leo haijamweka ndani huyu mwalimu Wema ambae ndie alikua anaishi nae hadi kipindi amepotea. Labda kwanini waweke ndani.
1. Mwl. Wema hakutoa taarifa kwa wazazi kipindi mtoto amepotea.
2. Siku hiyo ambao wazazi walipata taarifa kupitia ndugu mwingine, huyu mwl alikua anwasiliana nao akitaka pesa za mahitaji ya shule ya mtoto, na hakusema kuwa kapotea.
3. Kwa taarifa alizowapa wazazi baada ya kufuatilia, alidai mtoto alimchapa kwa kosa ya kumiki simu ndio akaondoka.. Je kichapo hiko ni cha namna gani? Iwapo alimchapa na kumua Je?
4. Hatoi ushirikiano kwa wazazi kitu ambacho kinashiria kujua jambo hasa Lilomfika mtoto ila anataka kuwa acha wafuatilie hadi wachoke
Ukweli Hali ya kutofuatiliwa na mamlaka husika, inaashiria vitendo vya rushwa kutoka kwa muhusika.
Mama Gwajima, tunajua humo humu na wewe ni mfuatiliaji.. Tafadhali wadau wote tutoe support kwa wazazi Hawa... Kutokua na elimu na Pesa sio sababu ya kudhulumiwa haki... Nawakilisha🙏
View: https://www.youtube.com/live/F603mMiYh0k?feature=share