Mwogeleaji wa Tanzania Collins Philip Saliboko akiwa katika mazoezi makali

Mwogeleaji wa Tanzania Collins Philip Saliboko akiwa katika mazoezi makali

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mwogeleaji wa Tanzania, Collins Philip Saliboko akiwa katika mazoezi makali kujiandaa na mchuano wa Michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham.

Collins, mwenye umri wa miaka 21, anaingia katika ushindani kesho Julai 29, 2022 katika ngwe ya mita 50 Butterfly.

Keshokutwa Collins ataingia tena kushindana mita 200 free style, na mwenzie Kyla Temba nae siku hiyo atashinda mita 50 free style.
 
Back
Top Bottom