Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 3,984 Reaction score 13,760 Jul 28, 2022 #1 Mwogeleaji wa Tanzania, Collins Philip Saliboko akiwa katika mazoezi makali kujiandaa na mchuano wa Michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham. Collins, mwenye umri wa miaka 21, anaingia katika ushindani kesho Julai 29, 2022 katika ngwe ya mita 50 Butterfly. Keshokutwa Collins ataingia tena kushindana mita 200 free style, na mwenzie Kyla Temba nae siku hiyo atashinda mita 50 free style. Your browser is not able to display this video.
Mwogeleaji wa Tanzania, Collins Philip Saliboko akiwa katika mazoezi makali kujiandaa na mchuano wa Michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham. Collins, mwenye umri wa miaka 21, anaingia katika ushindani kesho Julai 29, 2022 katika ngwe ya mita 50 Butterfly. Keshokutwa Collins ataingia tena kushindana mita 200 free style, na mwenzie Kyla Temba nae siku hiyo atashinda mita 50 free style. Your browser is not able to display this video.