Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Ahsante sana kiongoziMkuu pole sana! Wamevulugwa hao utawala huu sio poa
Wa mikoani oyeee!Mkoani tunatembea kwa miguu sana na kuendesha baiskeli aina swala sina wa kumuuliza
Usijali sana muda so mrefu nitafanya hivyoukilog in nitakwambia kisanga kilichonikuta
Tia mfukoni kaka halafu we jifanye bububora wewe mi nimemuomba jamaa anilipie nauli kajifanya kiziwi kwa bahati mbaya konda anavomrudishia chenchi zimeangukia kwangu
ngoja nifanye hivo japo najua kifuatacho ni kibayaTia mfukoni kaka halafu we jifanye bubu
Nalog off
Wengine wana huruma sana,usikate tamaa.Mwanamke pekee ninayeweza kumwomba hata mia ni mama tu.
Jaribu kufanya hivyongoja nifanye hivo japo najua kifuatacho ni kibaya
Mkuu usawa unakaba wanawake wengine wana huruma sanaWewe ni shujaa, tumezoea kuombwa wanaume!
inaonekana hesabu za log ulikua kinara sanaJaribu kufanya hivyo
Nalog off
Nisamehe bure sirudii tensKumbe ni wewe?
Tena shika adabu kuniomba omba hela.
Four dimension array!Mkuu pole sana! Wamevulugwa hao utawala huu sio poa
Swala na FonexMkoani tunatembea kwa miguu sana na kuendesha baiskeli aina swala sina wa kumuuliza