Mwonekano mpya wa Penny

chezea kitu 360 hakidanganyiii
 
Matola
Wewe jamaa kila akitajwa wema una panick au nawe unamtaka diamond? Acha mambo ya kike wewe
 
Last edited by a moderator:
mr gentleman
Katoa sura ka kamuona domo kapita ukisikia domo kamchamba wema IS kaanza kujipigisha mipicha ya hasara si unamchumba wewe baba mkwe a naona mapaja au ndio kidigital
 
Last edited by a moderator:
mbona yupo kama kabati...ila mtoto wema pamoja na kujiharibu kote bado anavutia kinomanoma...basi tu uswahili mwingi umemponza ila ilikua awe bonge la demu..mi kwa kweli roho yang anaikoshaga sana..
 
Wewe jamaa kila akitajwa wema una panick au nawe unamtaka diamond? Acha mambo ya kike wewe

Nani mwenye mambo ya kike kati ya Matola na huyo aliyeleta stori za wema sehemu asiyo husika? Acha tabia za kike wewe
 
Last edited by a moderator:
mbona yupo kama kabati...ila mtoto wema pamoja na kujiharibu kote bado anavutia kinomanoma...basi tu uswahili mwingi umemponza ila ilikua awe bonge la demu..mi kwa kweli roho yang anaikoshaga sana..

Jinsia yako na umri tafadhali
 
MZIMU
Naona umejaribu weka transformation ya we a kutoka chocolate color kwenda kua papai
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…