OnePlus ilikuwa ni brand nzuri sana katika design, lakini kwa zaidi ya miaka mingi inabadili mwonekano wake kila muda na fans wake hawapendi kuona kila model ina design yake.
Mwaka jana katika OnePlus 10 Pro ilikuwa na mwonekano mpya wa kamera lakini wengi hawakupenda mwonekano ule. Jambo la kushangaza, OnePlus zinaendelea kubadilika kila mwaka na mwaka huu imebadilika tena.
Tangu pei aondoke Na kufata mfumo wa bbk imekuwa shida sana kwa kampuni la oneplus
Kama wana wavalue wateja wamvute designer wa reno akabe nafas Na syo kuintroduce utumbo Unaitwa color os
Over oxygen os