Mwonekano wa nje jengo la shule ya msingi malamala kata ya luhangarasi wilaya ya nyasa mkoani ruvuma

Alexander kapinga

New Member
Joined
Dec 13, 2023
Posts
1
Reaction score
1
89162.jpg
 
Bado wana fanya upembuzi yakinifu, wataalamu wetu wa majengo tumewatuma hapo tuna waamini na niwataalamu walio bobea watatuletea tahthmini nzuri na yenye viwangi vya juu, tumepanga kijenga shule yenye viwango vya juu na yakimataifa ya kwanza ukanda huu. ...........oyeee !!!
 
Vipi kiwango cha ufaulu kwenye shule hiyo, unafanana na majengo?
 
Halafu mkuu wa wilaya huko anatembelea gari la milioni 200, ukijumlisha na gari nyingine, gharama za msafara wake kwa mwaka unaweza kuta inajengwa shule mpya kabisa.

Ni km tuna laana vile
 
Hayo ni matatizo ya wazazi ukiweza kukubali mwanao asomee katika jumba chafu Kama hilo linalokaribia kuanguka inafikirisha Sana katika akili za wazazi wao.

Nimekaa Uganda na Bukoba huwezi kukuta shule Kama hizo za udogo chafu , wazazi huchangishana na kujenga shule ma a na wanatambua umuhimu Wa Elimu.
 
Wengine ni maisha mzee, kuna watu hali ni tete mkuu, inabidi tu mwanae asome hapo sababu ndio afadhali anaweza mudu, unakuta pamoja na shule bure ila vifaa tu, uniforms zinampiga chenga.

Lawama asipewe mzazi, lawama ni kwa serikali, inapaswa ijenge shule bora, kuanzia majengo mpaka elimu. Ni vitu vya hovyo sana, utakuta hapo hapo, wilayani matumizi, kuanzia gari ya mkuu wa wilaya wa chini yake, bilioni kadhaa hivi, + na matumizi yake.

Kuna sehemu watanzania tulikosea na haya ndio matokeo ya KOSA letu.
 
Halafu mkuu wa wilaya huko anatembelea gari la milioni 200, ukijumlisha na gari nyingine, gharama za msafara wake kwa mwaka unaweza kuta inajengwa shule mpya kabisa.

Ni km tuna laana vile
Ukiweka mbali habar za finishing na nini, hiyo 200m peke yake inatosha kujenga shule nzima ikiwa imeezekwa vizuuuri na madirisha ya gril na plasta na sakafu na milango. Milion 200 na chenji inaweza ikabaki.
NB
ignore utapel wa ki ppra kuhusu sherial za manunuzi na tendering
 
Wengine ni maisha mzee, kuna watu hali ni tete mkuu, inabidi tu mwanae asome hapo sababu ndio afadhali anaweza mudu, unakuta pamoja na shule bure ila vifaa tu, uniforms zinampiga chenga.

Lawama asipewe mzazi, lawama ni kwa serikali, inapaswa ijenge shule bora, kuanzia majengo mpaka elimu. Ni vitu vya hovyo sana, utakuta hapo hapo, wilayani matumizi, kuanzia gari ya mkuu wa wilaya wa chini yake, bilioni kadhaa hivi, + na matumizi yake.

Kuna sehemu watanzania tulikosea na haya ndio matokeo ya KOSA letu.
UKo sahihi. Hiv na inakuaje kabisa mkurugenz wa hiyo halmashaur sijui manisoaa akawa proud kabisaa kusimamaia shule zkkiwa mbovu namna hii????
 
Ukiweka mbali habar za finishing na nini, hiyo 200m peke yake inatosha kujenga shule nzima ikiwa imeezekwa vizuuuri na madirisha ya gril na plasta na sakafu na milango. Milion 200 na chenji inaweza ikabaki.
NB
ignore utapel wa ki ppra kuhusu sherial za manunuzi na tendering
Kama taifa kuna mahali tulikosea na haya ndio matokeo ya BOKO tulilotoa huko nyuma.
 
Aione

Mwenezi Itikadi Na Mafunzo Wa CCM
Paul Christian Makonda
 
Bado wana fanya upembuzi yakinifu, wataalamu wetu wa majengo tumewatuma hapo tuna waamini na niwataalamu walio bobea watatuletea tahthmini nzuri na yenye viwangi vya juu, tumepanga kijenga shule yenye viwango vya juu na yakimataifa ya kwanza ukanda huu. ...........oyeee !!!
😆😆😆😆😆
 
Ualimu muda mwingine kaazi kweli kweli😂😂😂 imagine unafanyia kazi mazingira hayo, lazima akili ikengeuke kidogo.
 
Back
Top Bottom