Mwonekano wao ukoje katika Jamii

Mwonekano wao ukoje katika Jamii

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Hivi wana umme wenye (Kibinda)Wapenzi wao ujisikiaje katika jamii??
 
Mkuu unacho! Wanatamani wawe wahindi
:doh:Weeeeeeeeeeee hii sura yakuwa na wowo??uogopi kuniuliza hivi??nikimbizwa na polisi nitakimbiaje??maana mimi sikuzote wabaya wangu polisi!!!:smile-big:
Ila kuna baa moja nilitembelea hapo kimara mwisho!!kuna baa ya ghorofa wanauza supu ila kuna Mshua mmoja ankibinda acha!!:doh:
 
mwanaume unatakiwa kuwa na **** la kuvalia suruali, co uwe pasi suruali hazikai ,kuchomekea mwiko du inakaa vp hii, ila kikizidi nacho balaa mzee
 
kuna mmoja namjua....weee acha tu.
 
kuna mmoja namjua....weee acha tu.
Preta, sinasikia mnasema ati zile muscles ni mali ati anasukuma mpaka unajisikia uko dunia nyingine ...........au ni uongo :smile:
 
<font face="Comic Sans MS"><font size="4"><font color="purple">kuna mmoja namjua....weee acha tu.</font></font></font>
Yukoje??ukikuta anaoga bafu ya magunia na kakupa mgongo unaweza kuzubaa unakula chabo!!
 
Preta, sinasikia mnasema ati zile muscles ni mali ati anasukuma mpaka unajisikia uko dunia nyingine ...........au ni uongo :smile:

:nono:......mwanaume kifua ndugu
mimi mdundiko na mwanaume awe tena mdundiko si tutakuwa mzigo wa fujo hapo kwa bed
 
Yukoje??ukikuta anaoga bafu ya magunia na kakupa mgongo unaweza kuzubaa unakula chabo!!

mimi huwa napenda niwaone wanavyotembea....huwa siamini kama ni dume.....lakini all n all ni uumbaji huo...hatuna pingamizi
 
huyo kaamua kuvaa kivazi cha mkewe.......kipenzi :smile-big:
Nakwambi ukipenda basi tu ................. ivi na wewe huwa unavaaga za ubani ......:thinking:
 
Back
Top Bottom