theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
MWONGOZO AMBAO UTAKUAMBIA KUWA KUKU WAKO NI WAGONJWA
Kutokana na ufinyu wa elimu ya mifugo hasahasa (kuku) kwa wafugaji na hivyo kupelekea mfugaji kupata hasara. Leo ningependa tuangazie dalili ambazo zitamwezesha mfugaji wa kuku kujua ni aina gani ya ugonjwa unaowasumbua kuku na hivyo kumwezesha kuchukua hatua mapema kuepuka vifo ndani ya banda.
1. Mwili
Kukondeana kwa kuku hii yaweza sababishwa na either kuku hawapati chakula cha kutosha, upungufu wa virutubisho baadhi katika chakula, lymphoid leucosis, enteritis, tuberculosis or gizzard impaction.
· Kudumaa kwa mwili yaweza kuwa ni blue comb disease, aflatoxin poisoining, synovitis or contaminated hatching eggs
· Kuparaylse yaweza kuwa botulism, mareks disease, arthritis, aflatoxin poisoning or epidermal tumor
· Dehydration (kusinyaa kwa mwili) Yaweza kuwa upungufu wa maji, coccidiosis, gumboro disease or kuto kubalance kwa chakula
· Nervousness yaweza kuwa Hysteria, Newcastle or maambukizi ya fungus
· Kulalia tumbo or miguu ku paralyse yaweza kuwa algae poisoning, botulism, upungufu wa maji au yellow jasmine poisoning.
2. Manyoya
· Manyoya kuwa na majimaji chini ya mbawa yaweza kuwa infectious coryza
· Kudonolewa kwa manyoya yaweza kuwa chawa wa kuku, upungufu wa madini au kuku kutokupunguzwa mdomo
· Kula manyoya hutokana na kupungua kwa madini katika mwili
· Manyoya kubadilika rangi yaweza kuwa ukosefu wa madini kama vile folic acid or madini ya chuma
3. Kinyesi
· Cha Kuharisha yaweza kuwa enteritis
· Cha Damu yaweza kuwa coccidiosis, au Newcastle
· Cha Kijani kuku kupewa chakula kidogo kwa siku au nyongo kutokuchujwa vizuri
· Cha njano hii ni black head syndrome
· Cha njano nyepesi or chanjo-kijani yaweza kuwa fowl typhoid or fowl cholera
· Cha povu yaweza kuwa maambukizi ya protozoa
4. Mayai
· Kupungua kwa mayai kwa ghafla ni Newcastle, infectious bronchitis, laryngotraichetis, influenza A, or mycotoxin poisoning, infectious coryza, fowl pox or fowl cholera.
· Mayai yasioridhisha yaweza kuwa aflatoxicosis, pullorum, coccidiosis, leucosis, ectoparasite.
· Mayai mepesi yaweza kuwa Nectrotic enteritis au infectious bronchitis
· Walikuwa wanataga na wakaacha kutaga kwa muda yaweza kuwa epidermic tremor
5. Kichwa
· Kichwa kuvimba yaweza kuwa infectious coryza, Newcastle or kuumia
6. Macho
· Kuwa na majimaji yaweza kuwa infectious coryza
· Upofu yaweza kuwa fowl pox, au paratyphoid
· Majimaji,mekundu na kufumba kwa macho yaweza kuwa laryngotracheitis, ammonia burn, newcastles or upungufu wa madini especially vitamin A
· Macho kuvimba na kuwa makubwa yaweza kuwa Mycoplasma infection
7. Uso
· Uso kuvimba yaweza kuwa infectious coryza, Newcastle or E,coli infectious
· Uso kuwa mweusi au zambarau yaweza kuwa Erysipelas, fowl cholera or septicemia
· Uso kuwa na vinundunundu yaweza kuwa fowl pox
8. Pua
· Kutoa majimaji yaweza kuwa infectious coryza, infectious bronchitis or influenza
9. Ndevu za kuku
· Zikiwa zimevimba yaweza kuwa infectious coryza or fowl cholera
· Zikiwa na nundunundu yaweza kuwa fowl pox
Karibuni kwa maswali
Imeandaliwa na Dr of Veterianry Medicine