Vifaa vya kitalu nyumba vipo na vinapatikana hata hapo Dar na mafundi pia, kuna ukubwa tofauti ambao una gharama tofauti za kitalu nyumba mfano 8mx15,8mx30m nk nk... Unaweza kunipm kwa msaada na kazi mkuu, karibuHabari wadau?
Naomba kufahamishwa wapi vinapatikana vifaa vya kujenga banda la greenhouse kwa bei nafuu.
Pia nina hitaji la kuandaa project ya ukubwa wa robo acre. Ninaomba kama naweza kusaidiwa kujua gharama za kuanzisha
Naomba namba yako ya simu Mkuu. Mimi pia nina uhitaji wa hilo suala.Vifaa vya kitalu nyumba vipo na vinapatikana hata hapo Dar na mafundi pia, kuna ukubwa tofauti ambao una gharama tofauti za kitalu nyumba mfano 8mx15,8mx30m nk nk... Unaweza kunipm kwa msaada na kazi mkuu, karibu
0714600575 || 0620598113Naomba namba yako ya simu Mkuu. Mimi pia nina uhitaji wa hilo suala.
Toa na bei hapa hapa watu wengine tunaweza kuvutiwaVifaa vya kitalu nyumba vipo na vinapatikana hata hapo Dar na mafundi pia, kuna ukubwa tofauti ambao una gharama tofauti za kitalu nyumba mfano 8mx15,8mx30m nk nk... Unaweza kunipm kwa msaada na kazi mkuu, karibu