Habari wakuu naimani wazima wote,
Ningependa kupata mwongozo kuhusu sheria ya malipo ya fire kwenye nyumba. je malipo kwa ajili ya fire yanatakiwa yalipwe kwa kila chumba au ni kwa nyumba nzima. Hii inatokana na usumbufu tunaopata wafanya biashara wadogo wadogo mkoani manyara ambapo maafisa wa fire wamekuwa wakitoza malipo ya fire kwa kila frame ndani ya jengo moja, je hi ni sahihi kisheria au ni uonevu?.
Napenda kuwakilisha wakuu