Fascinating
Senior Member
- May 14, 2025
- 146
- 351
| Shughuli | Kwa Siku (TZS) | Kwa Wiki (TZS) | Kwa Mwezi (TZS) |
| Uzalishaji wa mazao/mifugo | 6,731 | 40,386 | 175,000 |
| Misitu na ukataji miti | 7,115 | 42,692 | 185,000 |
| Uvuvi na ufugaji samaki | 11,539 | 69,231 | 300,000 |
| Shughuli | Kwa Siku (TZS) | Kwa Wiki (TZS) | Kwa Mwezi (TZS) |
| Hospitali | 9,615 | 57,692 | 250,000 |
| Kituo cha Afya / Polyclinic / Pharmacy | 9,231 | 55,385 | 240,000 |
| Zahanati (Dispensary) | 8,846 | 53,077 | 230,000 |
| Shughuli | Kwa Siku (TZS) | Kwa Wiki (TZS) | Kwa Mwezi (TZS) |
| Vipindi, matangazo na habari | 11,115 | 66,692 | 289,000 |
| Telecommunication | 24,769 | 148,615 | 644,000 |
| Call Centre | 14,615 | 87,692 | 380,000 |
| Aina ya Mfanyakazi | Kwa Siku (TZS) | Kwa Wiki (TZS) | Kwa Mwezi (TZS) |
| Kwa mabalozi/wafanyabiashara wakubwa | 12,615 | 75,692 | 328,000 |
| Kwa maofisa waliostahili | 10,192 | 61,154 | 265,000 |
| Wengine (wasioishi kwa mwajiri) | 6,154 | 36,924 | 160,000 |
| Wafanyakazi wengine wa ndani | 3,077 | 18,462 | 80,000 |
| Shughuli | Kwa Siku (TZS) | Kwa Wiki (TZS) | Kwa Mwezi (TZS) |
| Hoteli za nyota 4 na 5 | 14,423 | 86,539 | 375,000 |
| Mwongozo wa watalii | 12,308 | 73,846 | 320,000 |
| Hoteli ya nyota 3 / Mbeba mizigo | 8,654 | 51,923 | 225,000 |
| Guest house/Baa/Migahawa | 7,500 | 45,000 | 195,000 |
| Sekta/Shughuli | Kwa Siku (TZS) | Kwa Wiki (TZS) | Kwa Mwezi (TZS) |
| Nishati: Makampuni ya Kimataifa | 29,458 | 176,746 | 765,900 |
| Ujenzi: Mkandarasi Daraja la I | 19,808 | 118,846 | 515,000 |
| Usafiri: Huduma za Anga | 19,154 | 114,923 | 498,000 |
| Usafiri: Clearing & Forwarding | 17,846 | 107,077 | 464,000 |
| Shughuli | Kwa Siku (TZS) | Kwa Wiki (TZS) | Kwa Mwezi (TZS) |
| Uchimbaji na utafutaji madini | 26,731 | 160,385 | 695,000 |
| Leseni ya Dealer (Dalali) | 22,885 | 137,308 | 595,000 |
| Elimu ya Juu (Binafsi) | 11,565 | 69,390 | 300,700 |
| Shule za Sekondari/VETA | 10,819 | 64,914 | 281,300 |
| Shughuli | Kwa Siku (TZS) | Kwa Wiki (TZS) | Kwa Mwezi (TZS) |
| Benki za Biashara | 28,192 | 169,154 | 733,000 |
| Bima / Taasisi za Fedha | 26,912 | 161,472 | 699,700 |
| Sekta ya Viwanda | 7,692 | 46,154 | 200,000 |
| Biashara za kawaida | 7,712 | 46,269 | 200,500 |
Unajazwa na hard work, kula kwa jasho , hard work pays mindsetUnashangaa viwanda ambapo vinatengeneza faida kubwa, na risk ya wafanyakazi ni kubwa, ndo eti wanalipwa 200,000 kwa mwezi. Huyu aliepangilia hivi atakuwa anamlinda Bakhresa na akina Mo ili waendelee kulipa vijana 8,000 kwa siku!
175k kwa mwezi?kima cha chini cha mshahara kilichopangwa ni TZS 6,731 kwa siku au TZS 175,000 kwa mwezi.
Wanaogopa makabochori na wahindi wasipate hasara wasije wakaacha kuchangia CCMVIWANDA UNAMLIPA 7000 KWA SIKU NA MASHAMBANI 6000.AISE TUNABEBANA.KIMA CHA CHINI KWENYE VIWANDA ILIPASWA KUWA 15ALFU KWA SIKU
Utajenga kweli?Noma sana
Ila nimefurahi hapo kwenye viwanda at least wametuongezea hiyo 50K
Yote mema 😅Utajenga kweli?
Au dunia tunapita
Makuli wa bandari mbona hawapo?Kufuatia marekebisho ya serikali kupitia Labour Institutions (Minimum Wage for Private Sector) Order, 2025, viwango vipya vya mshahara vimeanza kutumika. Ni muhimu kwa kila mfanyakazi na mwajiri kufahamu viwango hivi ili kuhakikisha haki na wajibu vinatekelezwa kwa mujibu wa sheria.
Hapa kuna mchanganuo wa viwango hivyo kulingana na sekta mbalimbali:
1. Sekta ya Kilimo, Uvuvi na Misitu
Shughuli Kwa Siku (TZS) Kwa Wiki (TZS) Kwa Mwezi (TZS) Uzalishaji wa mazao/mifugo 6,731 40,386 175,000 Misitu na ukataji miti 7,115 42,692 185,000 Uvuvi na ufugaji samaki 11,539 69,231 300,000
2. Sekta ya Afya
Shughuli Kwa Siku (TZS) Kwa Wiki (TZS) Kwa Mwezi (TZS) Hospitali 9,615 57,692 250,000 Kituo cha Afya / Polyclinic / Pharmacy 9,231 55,385 240,000 Zahanati (Dispensary) 8,846 53,077 230,000
3. Mawasiliano na Habari
Shughuli Kwa Siku (TZS) Kwa Wiki (TZS) Kwa Mwezi (TZS) Vipindi, matangazo na habari 11,115 66,692 289,000 Telecommunication 24,769 148,615 644,000 Call Centre 14,615 87,692 380,000
4. Kazi za Ndani (Domestic Workers)
Aina ya Mfanyakazi Kwa Siku (TZS) Kwa Wiki (TZS) Kwa Mwezi (TZS) Kwa mabalozi/wafanyabiashara wakubwa 12,615 75,692 328,000 Kwa maofisa waliostahili 10,192 61,154 265,000 Wengine (wasioishi kwa mwajiri) 6,154 36,924 160,000 Wafanyakazi wengine wa ndani 3,077 18,462 80,000
5. Hoteli na Utalii
Shughuli Kwa Siku (TZS) Kwa Wiki (TZS) Kwa Mwezi (TZS) Hoteli za nyota 4 na 5 14,423 86,539 375,000 Mwongozo wa watalii 12,308 73,846 320,000 Hoteli ya nyota 3 / Mbeba mizigo 8,654 51,923 225,000 Guest house/Baa/Migahawa 7,500 45,000 195,000
6. Nishati, Ujenzi na Usafirishaji
Sekta/Shughuli Kwa Siku (TZS) Kwa Wiki (TZS) Kwa Mwezi (TZS) Nishati: Makampuni ya Kimataifa 29,458 176,746 765,900 Ujenzi: Mkandarasi Daraja la I 19,808 118,846 515,000 Usafiri: Huduma za Anga 19,154 114,923 498,000 Usafiri: Clearing & Forwarding 17,846 107,077 464,000
7. Madini na Elimu Binafsi
Shughuli Kwa Siku (TZS) Kwa Wiki (TZS) Kwa Mwezi (TZS) Uchimbaji na utafutaji madini 26,731 160,385 695,000 Leseni ya Dealer (Dalali) 22,885 137,308 595,000 Elimu ya Juu (Binafsi) 11,565 69,390 300,700 Shule za Sekondari/VETA 10,819 64,914 281,300
8. Biashara, Fedha na Viwanda
Shughuli Kwa Siku (TZS) Kwa Wiki (TZS) Kwa Mwezi (TZS) Benki za Biashara 28,192 169,154 733,000 Bima / Taasisi za Fedha 26,912 161,472 699,700 Sekta ya Viwanda 7,692 46,154 200,000 Biashara za kawaida 7,712 46,269 200,500
Muhimu: Ikiwa sekta yako haikutajwa mahali popote, kima cha chini cha mshahara kilichopangwa ni TZS 6,731 kwa siku au TZS 175,000 kwa mwezi.
Kwa ushauri zaidi wa kisheria au msaada kuhusu migogoro ya kikazi, wafanyakazi wanahimizwa kuwasiliana na ofisi za TUICO zilizo karibu nao.