Rejonta Member Joined Jun 1, 2013 Posts 44 Reaction score 16 Jul 21, 2013 #1 naombeni mwongozo wakuu kwa anayefahamu vizuri juu ya hili,hivi mtu akimaliza diploma ya clinical officer anaweza kuunganisha kwenda kuchukua MD? au haiwezekani kabisa.
naombeni mwongozo wakuu kwa anayefahamu vizuri juu ya hili,hivi mtu akimaliza diploma ya clinical officer anaweza kuunganisha kwenda kuchukua MD? au haiwezekani kabisa.