LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
LiverpoolFC,Ya kiwango gani?
Msingi, sekondari au A level?
Ya kiwango gani?
Msingi, sekondari au A level?
Ndg zangu! Mtaniwia radhi! Huyu ndg ni kwmb hakusoma kbs na kwa sasa anataka aanze darasa
Ukiangalia ni mtu mwenye umri wa miaka 26-27 na ndiyo anataka aingie darasani. Mwongozo Ndg zangu! Elimu ya msingi tu angalau!
alikuwepo mzee mmoja raia wa Kenya, ni marehemu sasa hivi. Kimani Maluge alianza nursery na miaka 84,walimruhusu aingie darasani na watoto wa miaka 5,mbona aliweza tu(alifahamu kusoma na kuandika) Lengo lake alitaka ajue kusoma biblia na kusomea udaktari wa mifugo. RIP mzee Kimani! Alikuwa my role model.
dah?
Mwambia atafute mwalimu wa elimu ya awali, ambaye atakuwa akimfundisha nyumbani. Ni nowmer mtu mzima kuvikwa uniform...