MWONGOZO RAHISI WA KUCHANGIA HOJA HAPA JF

Bila kusahau Kuna Uchadema kama Dini humu Mamaee
 
Furum niipendayo JamiiForums.com.
 
Nipeni mbinu ya kumuignore mtu
Baba mtakatifu91 Fungua profile ya member unaetaka kumu Ignore, kisha. kuna sehemu
Ilioandikwa follow na ilioandikwa ignore bonyeza, ignore kisha Itakuja uhakikishe kama unataka kweli kumu Ignore utakubali,


Yote
Haya utayafanya kama huyo mtu hajafunga profile yake. kama ww Ulivyofunga profile yako.!!
 
Maandiko madogo kama haya mpaka ukachote maarifs kwa Ai (Akili Mnemba) like seriously?
Anyway hapa sio chumba cha mtihani na tusipangiane majibu nitajibu navyojisikia mengine ntawaachia mods wafanye kazi yao .
Au unataka mods wakose ajira ? 😂🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…