Mwongozo unahitajika katika kuanzisha kampuni ya uwakala wa bima

zacha

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2009
Posts
1,217
Reaction score
1,918
Wapendwa Habari zenu

Ninahitaji mwongozo wa kufungua kampuni ya uwakala wa bima. Na ni kampuni gani ya bima ambayo iko vizuri kwenye soko na haitaniwia vigumu kushawishi wateja wangu kujiunga nayo. Naombeni Dondoo (Procedure)

Nawasilisha
Asanteni
 
Ninachokijua kidogo.....
Pita kwenye website ya TIRA (Tanzania Insurance Regulatory Authority) au nenda ofisini kwao watakupa mwongozo.

Pili pamoja na hayo moja ya masharti ni kuwa na mtu (ambaye atakuwa principal) mwenye kiwango cha elimu ya 'certificate' kwenye bima.

Ubora wa Makampuni inategemea na ulipaji wao wa madai kwa wakati...........hapa naona Jubilee, Metropolitan na Allliance wako vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…