Mwongozo wa kuanza biashara ya madini A - Z

Mwongozo wa kuanza biashara ya madini A - Z

Jay_255

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
743
Reaction score
1,305
1670851650955.jpg
Kwa wale wanaohitaji kufaham kinagaibaga biashara ya madini kitabu hiki kitakupa mwanga wa wa kujua yafuatayo

1.Aina za madini na mahali yanapopatikana nchini Tanzania
2.Bei ya madini sokoni na yanauzwaji
3.Jua namna ya kupata leseni za uchimbaji wa madini , ununuaji wa madini na usafirishaji wa madini
4.Sheria zinazoongoza sekta ya madini
5.Namna ya kuanza biashra ya madini kwa mtaji mdogo
6.Nini unatakawa ufanye weww ukiwa mgeni katika biashara ya madini
7.Na la muhimu ni namna ya kujua madini halisi na fake (yasiyo halisi)

KIMEUZWA​
 
Ww mpk ss umemaliza kukisoma kimekufikisha wapi? Mpk unauza tena.

Tunachokijua.
 
Tunachokijua: Muuza madini akigeuka Muuza vitabu hakuna biashara hapo.
Mengi aliandika kitabu, alikuwa masikini??

Sijui kwanini waafrika hatuamini katika kusoma/kuandika vitabu..bado tunarely on oral traditions kama babu zetu.
Wenzetu wanatutawala kwasababu babu zao waliandika Quran na Biblia.
Assume wangekuja wakakuta tayari tuna vitabu vyetu kuhusu Maswala ya kidini na Mungu...unahisi wangetutawala kama wanavyofanya hivi?
 
Kwa wale wanaohitaji kufaham kinagaibaga biashara ya madini kitabu hiki kitakupa mwanga wa wa kujua yafuatayo

1.Aina za madini na mahali yanapopatikana nchini Tanzania
2.Bei ya madini sokoni na yanauzwaji
3.Jua namna ya kupata leseni za uchimbaji wa madini , ununuaji wa madini na usafirishaji wa madini
4.Sheria zinazoongoza sekta ya madini
5.Namna ya kuanza biashra ya madini kwa mtaji mdogo
6.Nini unatakawa ufanye weww ukiwa mgeni katika biashara ya madini
7.Na la muhimu ni namna ya kujua madini halisi na fake (yasiyo halisi)

Kinapatikana wapi hicho kitabu??
 
Huyu engineer alieandika kitabu anachimba pori gani? nyakafuru, nyaruyeye, mwazimba, nyamalapa, mwiwe, ichontera, nyamongo, yakagwe, nyangarata, mwakitore, kitunda au wapi?.
 
Huyu engineer alieandika kitabu anachimba pori gani? nyakafuru, nyaruyeye, mwazimba, nyamalapa, mwiwe, ichontera, nyamongo, yakagwe, nyangarata, mwakitore, kitunda au wapi?.
Anaweza kukwambia Jibu la swali lako lipo ukurasa wa nane wa kitabu chake
 
Kwa wale wanaohitaji kufaham kinagaibaga biashara ya madini kitabu hiki kitakupa mwanga wa wa kujua yafuatayo

1.Aina za madini na mahali yanapopatikana nchini Tanzania
2.Bei ya madini sokoni na yanauzwaji
3.Jua namna ya kupata leseni za uchimbaji wa madini , ununuaji wa madini na usafirishaji wa madini
4.Sheria zinazoongoza sekta ya madini
5.Namna ya kuanza biashra ya madini kwa mtaji mdogo
6.Nini unatakawa ufanye weww ukiwa mgeni katika biashara ya madini
7.Na la muhimu ni namna ya kujua madini halisi na fake (yasiyo halisi)

KIMEUZWA​
Wasikukatishe tamaa. Umefanya jambo zuri sana kwani Tanzania ina pengo kubwa kwenye vitabu kama hivi. Cha muhimu ni kuwa uandishi wako uwe umetokana na research ya kina na uwe unaki-update mara kwa mara kwa sababu sekta ya madili ina evolve kwa kasi.
 
Tapeli kaingia mzigoni
Watanzania wenzangu. Siyo lazima awe ana mafanikio kwenye hiyo biashara ndiyo aandike. Kila mtu ana kipaji chake. Pengine yeye ni mzuri kwenye ''kusoma ramani'' za madini na ni mtu yuko connection nyingi. Watu wa aiana hii wako wengi tu. Kuna jamaa mmoja namjua, ni mlevi mlevi hivi, anaishi chumba kimoja cha kupanga, lakini ni mzuri kweli kweli kwenye ushauri wa mtu afanye biashara gani.
 
Kinapatikana wapi hicho kitabu??
JIFUNZE BIASHARA YA KUNUNUA MADINI KWA KUSOMA KITABU CHA "MWONGOZO WA BIASHARA YA MADINI"

NB: kitabu hiki kimelenga kuelimisha jamaa hususani wale wanaotaka kuingia kwenye hii biashara ya madini kwa kueleza AINA ZA MADINI NA BEI ZAKE NA PICHA ZAKE, maeneo yanayochimbwa madini, mtaji unaofaa kuanza biashara ya madini, sheria zinazosimamia biashara ya madini, leseni za biashara ya madini n.k

BEI YA KITABU HIKI NI Tsh 20,000/= NCHI NZIMA

Kwa sasa kinapatikana katika BOOKSHOP za mikoa ifuatayo:

>>>>>>>>Dar es salam
>>>>>>>>Arusha
>>>>>>>>Morogoro
>>>>>>>>Songea
>>>>>>>>Kahama

NAMBA ZA WAUZAJI/BOOKSHOP KATIKA KILA MKOA NI HIZI ZOFUATAZO WAPIGIE SIMU:

KWA DAR*

>Posta dar unavipata piga 0742556446

>Bamaga sayansi unavipata piga, 0762312171

>Kariakoo sokoni unavipata piga, 0655997761

>Mabibo sokoni unavipata piga, 0694244792

KWA ARUSHA*
>> Y2k bookshop, makao mapya 0754307967

KWA MOROGORO *
>> Morogoro bookshop +255653663676

KWA KAHAMA
>> j star bookshop stend: +255767872191

*SONGEA
>>peramiho bookshop piga +255755882789

BEI NI ILE ILE TSH 20,000/=, WALE WA MIKOA MINHINE MTATUMIWA KWENYE BASI...

Namba za mwandishi wa kitabu hiki ni: 0688-896-588¹
 
Back
Top Bottom