Mengi aliandika kitabu, alikuwa masikini??Tunachokijua: Muuza madini akigeuka Muuza vitabu hakuna biashara hapo.
Ni sawa sawa na matrader wa forex..wamegeuka walimu na mentors mana ndio sehemu pekee watapata pesa za wajinga.Tunachokijua: Muuza madini akigeuka Muuza vitabu hakuna biashara hapo.
Kinapatikana wapi hicho kitabu??Kwa wale wanaohitaji kufaham kinagaibaga biashara ya madini kitabu hiki kitakupa mwanga wa wa kujua yafuatayo
1.Aina za madini na mahali yanapopatikana nchini Tanzania
2.Bei ya madini sokoni na yanauzwaji
3.Jua namna ya kupata leseni za uchimbaji wa madini , ununuaji wa madini na usafirishaji wa madini
4.Sheria zinazoongoza sekta ya madini
5.Namna ya kuanza biashra ya madini kwa mtaji mdogo
6.Nini unatakawa ufanye weww ukiwa mgeni katika biashara ya madini
7.Na la muhimu ni namna ya kujua madini halisi na fake (yasiyo halisi)
Tapeli kaingia mzigoniTunachokijua: Muuza madini akigeuka Muuza vitabu hakuna biashara hapo.
Anaweza kukwambia Jibu la swali lako lipo ukurasa wa nane wa kitabu chakeHuyu engineer alieandika kitabu anachimba pori gani? nyakafuru, nyaruyeye, mwazimba, nyamalapa, mwiwe, ichontera, nyamongo, yakagwe, nyangarata, mwakitore, kitunda au wapi?.
Wasikukatishe tamaa. Umefanya jambo zuri sana kwani Tanzania ina pengo kubwa kwenye vitabu kama hivi. Cha muhimu ni kuwa uandishi wako uwe umetokana na research ya kina na uwe unaki-update mara kwa mara kwa sababu sekta ya madili ina evolve kwa kasi.Kwa wale wanaohitaji kufaham kinagaibaga biashara ya madini kitabu hiki kitakupa mwanga wa wa kujua yafuatayo
1.Aina za madini na mahali yanapopatikana nchini Tanzania
2.Bei ya madini sokoni na yanauzwaji
3.Jua namna ya kupata leseni za uchimbaji wa madini , ununuaji wa madini na usafirishaji wa madini
4.Sheria zinazoongoza sekta ya madini
5.Namna ya kuanza biashra ya madini kwa mtaji mdogo
6.Nini unatakawa ufanye weww ukiwa mgeni katika biashara ya madini
7.Na la muhimu ni namna ya kujua madini halisi na fake (yasiyo halisi)
KIMEUZWA
Watanzania wenzangu. Siyo lazima awe ana mafanikio kwenye hiyo biashara ndiyo aandike. Kila mtu ana kipaji chake. Pengine yeye ni mzuri kwenye ''kusoma ramani'' za madini na ni mtu yuko connection nyingi. Watu wa aiana hii wako wengi tu. Kuna jamaa mmoja namjua, ni mlevi mlevi hivi, anaishi chumba kimoja cha kupanga, lakini ni mzuri kweli kweli kwenye ushauri wa mtu afanye biashara gani.Tapeli kaingia mzigoni
JIFUNZE BIASHARA YA KUNUNUA MADINI KWA KUSOMA KITABU CHA "MWONGOZO WA BIASHARA YA MADINI"Kinapatikana wapi hicho kitabu??
>>>>>>>>Dar es salam
>>>>>>>>Arusha
>>>>>>>>Morogoro
>>>>>>>>Songea
>>>>>>>>Kahama
>Posta dar unavipata piga 0742556446
>Bamaga sayansi unavipata piga, 0762312171
>Kariakoo sokoni unavipata piga, 0655997761
>Mabibo sokoni unavipata piga, 0694244792
>> Y2k bookshop, makao mapya 0754307967
>> Morogoro bookshop +255653663676
>> j star bookshop stend: +255767872191
>>peramiho bookshop piga +255755882789