Ndugu zangu watanzania!
Nina wazo la kufungua kampuni lakini sijui pa kuanzia na nimalizie wapi. Najua wapo wenye mawazo makubwa na nafasi ya kunisaidia niweze fikia lengo langu. Nimechoka na sitaki kuajiriwa tena!
Siwezi kuweka ' idea ' yangu hapa maana uwezekano wa kupigwa katafunua ni mkubwa mno! Mnaweza nipa mwongozo wa nini kifanyike. Pia ningepata msaada wa 'business proposal' niweze chungulia wadhamini pia.
Mawasiliano yangu ni +255717935721