Mwongozo wa kununua mitsubishi Fuso.

Mwongozo wa kununua mitsubishi Fuso.

Jindal Singh

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
1,857
Reaction score
1,538
Salaam wakuu naona uzi upo mahala pake , kama kichwa kinavyosema. Hivi karibuni ninampango wa kumpeleka mtu showroom kununua gari ya kazi ila yeye kapendelea kununua Mitsubishi fuso sasa nilikuwa nahitaji ushauri wenu wana jukwaa kabla ya kununua na baada ya kununua vitu gani vya kuongeza. Sina mengi ninayoyafahamu katika magari ya mizigo.
 
Back
Top Bottom