Pre GE2025 Mwongozo wa kutumia Pikipiki za SSH-2025

Pre GE2025 Mwongozo wa kutumia Pikipiki za SSH-2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
357
Reaction score
686
1. Aliyezinunua na kuzisambaza atalaaniwa kuanzia miguuni mpaka kichwani.

2. Kila atakayepokea na kuzitumia Pikipiki hizo laana ya Watanzania itakuwa juu yake, kwa hiyo mishe mishe zote atakazofanya kwa kutumia Pikipiki hizo zitajaa mikosi mitupu kuanzia atokapo, apitapo na aendapo.
Kwa hiyo, kutumia Pikipiki hizo ni kujisajili kwenye kitabu cha LAANA ya Watanzania.

Laana hii inatokana na uhujumu wa mali za umma uliosababisha kupatikana kwa Pikipiki hizo.

Baada ya kusema hayo, watu wote na waseme, AMINA.
 
Back
Top Bottom