Stanshirima Member Joined May 11, 2011 Posts 17 Reaction score 7 Nov 15, 2020 #141 Vipi ulifanikiwa kufanya biashara hii, ili nichukue uzoefukwako
Ngiama makanda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 1,552 Reaction score 2,741 Nov 17, 2020 #142 wehoodie said: Hivi huwa zina faida wakuu? Ni jambo kuna mdau huwa analisema sema kuhusu kufungua najiwazia inafaida kweli ukizingatia viduka ni vingi kila baada ya mtaa kuna kiduka cha mangi cha basic needs.... Click to expand... Mkuu nina uzoefu wa 5yrs usiombe hii kitu ni pasua kichwa sana
wehoodie said: Hivi huwa zina faida wakuu? Ni jambo kuna mdau huwa analisema sema kuhusu kufungua najiwazia inafaida kweli ukizingatia viduka ni vingi kila baada ya mtaa kuna kiduka cha mangi cha basic needs.... Click to expand... Mkuu nina uzoefu wa 5yrs usiombe hii kitu ni pasua kichwa sana
yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,662 Reaction score 3,715 Nov 18, 2020 #143 fredy paul said: Mkuu nina uzoefu wa 5yrs usiombe hii kitu ni pasua kichwa sana Click to expand... Sasa wewe mbona umeweza kukomaa 5yrs?
fredy paul said: Mkuu nina uzoefu wa 5yrs usiombe hii kitu ni pasua kichwa sana Click to expand... Sasa wewe mbona umeweza kukomaa 5yrs?
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Oct 3, 2022 #144 Kuna super market juzi nilikuwa nalipia bidhaa nikasikia wanasema wamenunua umeme wa laki 8!!!, Hii biashara unatakiwa kuwa na pesa
Kuna super market juzi nilikuwa nalipia bidhaa nikasikia wanasema wamenunua umeme wa laki 8!!!, Hii biashara unatakiwa kuwa na pesa