Benaya- JF-Expert Member Joined Jul 31, 2019 Posts 4,415 Reaction score 7,631 Jul 25, 2021 #21 Stroke said: Usharika wangu wa nyumbani wanafanya hivyo tangu hii kitu imeanza. Ila huu ugonjwa ni kipimo tosha Cha Imani. Hapa Mungu anapata kazi rahisi sana kutambua wale waumini maslahi na halisi. Yaani kipimo kidogo tu kwisha habari yake. Click to expand... Ugonjwa huu umeleta wakati wa mpito, baada ya ugonjwa huu kupita kuna huduma nyingi zitakuwa zimebadilika hasa biashara zitakuwa za online, kutumia kadi au mfumo wa kutumia simu zaidi badala ya kubeba cash.
Stroke said: Usharika wangu wa nyumbani wanafanya hivyo tangu hii kitu imeanza. Ila huu ugonjwa ni kipimo tosha Cha Imani. Hapa Mungu anapata kazi rahisi sana kutambua wale waumini maslahi na halisi. Yaani kipimo kidogo tu kwisha habari yake. Click to expand... Ugonjwa huu umeleta wakati wa mpito, baada ya ugonjwa huu kupita kuna huduma nyingi zitakuwa zimebadilika hasa biashara zitakuwa za online, kutumia kadi au mfumo wa kutumia simu zaidi badala ya kubeba cash.
ivunya JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 2,290 Reaction score 2,220 Jul 26, 2021 #22 Hakuna barakoa wala Sanitize. Pombe ikasafishe kwe madhabahu ya Bwana wakati tuna Damu ya Yesu
H Hamatan JF-Expert Member Joined Nov 10, 2020 Posts 3,197 Reaction score 7,677 Jul 26, 2021 #23 Stroke said: Kuna mtu anaingia kwenye nyumba ya Ibada na neti?? Ngoma ipo hapo ; Unamuamini Mungu au kipande Cha kitambaa?? As simple as that. Click to expand... Kwa hiyo uliambiwa kuwa unapoingia nyumba ya ibada, magonjwa yote yanabakia nje?
Stroke said: Kuna mtu anaingia kwenye nyumba ya Ibada na neti?? Ngoma ipo hapo ; Unamuamini Mungu au kipande Cha kitambaa?? As simple as that. Click to expand... Kwa hiyo uliambiwa kuwa unapoingia nyumba ya ibada, magonjwa yote yanabakia nje?
H Hamatan JF-Expert Member Joined Nov 10, 2020 Posts 3,197 Reaction score 7,677 Jul 26, 2021 #24 Stroke said: Haha Vitabu vya dini vilishasema haya Yaani binadamu anavyojiona mwerevu Kwa Mungu sio kitu. Ndio maana ikaandikwa wataourithi ufalme wa Mbingu ni wale wataokuwa na akili kama za watoto wadogo. Huwezi nielewa Kwa sasa ila ukiwa motoni utanikumbuka. Click to expand... Inaonekana hata maandiko unayasoma lakini haelewi kilchokusudiwa. Habari ya kuwa kama watoto wadogo, unaelewa nini?
Stroke said: Haha Vitabu vya dini vilishasema haya Yaani binadamu anavyojiona mwerevu Kwa Mungu sio kitu. Ndio maana ikaandikwa wataourithi ufalme wa Mbingu ni wale wataokuwa na akili kama za watoto wadogo. Huwezi nielewa Kwa sasa ila ukiwa motoni utanikumbuka. Click to expand... Inaonekana hata maandiko unayasoma lakini haelewi kilchokusudiwa. Habari ya kuwa kama watoto wadogo, unaelewa nini?